Pata programu za rununu za bure

Pata habari mpya kutoka kwetu kwenye programu zetu.

Download app from Android Download app from Apple

Malengo ya Maendeleo Endelevu

Swahili

Mradi wa Kigoma wa FAO unaolenga wanafunzi ni ufunguo wa mazao bora

Swahili
UN News
UN News
More from this author

Wajibu wa kutekeleza SDGs ni wa ulimwengu mzima-Dkt Philip Mpango

Swahili
UN News
UN News
More from this author

Afrika ni chanzo cha masuluhisho, Rwanda tuko tayari kufanya sehemu yetu-Paul Kagame

Swahili
UN News
UN News
More from this author

Mchango wa vijana unahitajika katika kufanikisha ajenda ya 2030-Ripoti

Umoja wa Mataifa leo umezindua leo ripoti yake ya kimataifa kuhusu vijana, ikisema ushirikiswhwaji wa vijana bilioni 1.2 wenye umri wa kati ya miaka 15 hadi 24  ni muhimu katika kufanikisha jamii endelevu, jumuishi na thabiti.

Ikipatiwa  jina Vijana na ajenda ya 2030 kwa ajili ya maendeleo endelevu, ripoti hiyo  imeangazia vijana  hao ambao ni asilimia 16 ya idadi ya watu wote duniani.

Swahili
UN News
UN News
More from this author

Bunge kutotekeleza mapendekezo ya ripoti ni jambo la kusikitisha- Profesa Assad

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali nchini Tanzania, CAG Profesa Musa Assad amezungumzia kitendo cha baadhi  ya ripoti zinazoonyesha  ubadhirifu kutoshughulikia ipasavyo na Bunge la nchi hiyo. Taarifa zaidi na Arnold Kayanda.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi nchini Tanzania kila mwaka hukabidhi ripoti zake za ukaguzi wa taasisi za umma ambazo pamoja na kuonyesha matumizi ya fedha pia hutoa mapendekezo.

Swahili
UN News
UN News
More from this author

Kuna walakin katika kutimiza Agenda 2030 kwa mwelekeo wa sasa-Bachelet

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet amesema dunia haipo kwenye njia sahihi kufikia malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Amesema hayo akihutubia mkutano maalum wa Baraza la haki za binadamu mjini Geneva, Uswisi wa kuangalia hatua zilizopigwa katika kutimiza Agenda hiyo ya 2030.

Swahili
UN News
UN News
More from this author

Asasi za kiraia zachagiza SDGs nchini Tanzania

Tanzania ikijiandaa kuwasilisha mwaka huu Umoja wa Mataifa ripoti yake ya utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, jukwaa la maendeleo endelevu nchini humo limeanzisha utaratibu wa jinsi ya kujumusha mawazo ya wanachama wa jukwaa hilo ambao ni asasi za kiraia.

Steven Chacha mwanzilishi mwenza wa Tanzania Data Lab na wenyeji wa jukwaa hilo amesema hayo jijini Dar es salaam wakati akihojiwa na Stella Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIC nchini Tanzania.

Swahili
UN News
UN News
More from this author

Licha ya kupungua tatizo la ajira , uduni wa ajira hizo ndio mtihani-ILO Ripoti

 

Ajira za viwango duni ni moja ya changamoto kubwa katika soko la ajira huku mamilioni ya watu wakilazimika kukubali mazingira duni ya kazi, kwa mujibu wa ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO iliyotolewa leo.

Swahili
UN News
UN News
More from this author

Ushirikiano wa kimataifa unahitajika kuhakikisha uhakika na usalama wa chakula:UN/AU

Wanasayansi, watunga sera , wawakilishi wa serikali , wakulima na walaji wanakutana kwa siku mbili mjini Adis Abba Ethiopia kwenye mkutano wa kwanza kuhusu uhakika na usalama wa chakula na jukumu lake katika maendeleo endelevu, SDG’s.

Chakula kisichofaa kilicho na bakteria, virusi, wadudu, na sumu au kemikali husababisha maradhi kwa watu zaidi ya milioni 600  na vifo kwa wengine 42,000 kila mwaka. Na magonjwa yatokanayo na kula chakula kisichofaa huibebesha mzingo mtubwa sekta za afya na kuzorotesha uchumi , biashara na utalii.

Swahili
UN News
UN News
More from this author