|
Japokuwa kumiliki bunduki ni haki kisheria katika nchi karibu zote duniani, biashara haramu ya bunduki huchochea migogoro, uhalifu na vurugu.
Kila siku watu elfu moja duniani kote huuwawa kwa bunduki.
Umoja wa Mataifa una mpango madhubuti kuzisaidia nchi mbali mbali kuimarisha ulinzi wa raia, kwa kuhakikisha kuwa bunduki haramu hazimilikiwi na watu wasiostahili, hasa watoto.
Hili ni jambo linalotuathiri sisi sote.
Tazama www.un.org/smallarms2006
|