Wanawake wakitwanga mahindi huko Banki jimbo la Borno kaskazini-mashariki mwa Nigeria ambapo FAO inasema teknolojia hii inapoteza muda mwingi ambao wanawake wangalitumia kuzalisha kitu kingine.