AfricaUpya: Februari 2022

Afya

Hali usugu kwa antibayotiki pamoja na dawa nyingine inaleta wasiwasi duniani

Kuweka lebo kwenye dawa na maelekezo ya matumizi kunaweza kusaidia kukabiliana na hali ya usugu wa dawa za kuua bakteria

Amani na Usalama

Maendeleo ya kituo cha mRNA cha Afrika Kusini ni msingi wa kujitegemea

Kitahakikisha Afrika ina uwezo wa kuzalisha ambao ni muhimu kwa utoaji wa chanjo wenye usawa
World Health Organization
Na WHO
Trucks loaded with goods waiting for weeks to cross the Côte d’Ivoire-Ghana borders at Elubo/Noe.

Muongo wa Kuchukua Hatua: Kutatua mapungufu ya maendeleo Afrika

Mabadiliko katika itikadi, kujiendeleza baada ya Uviko-19 na kutumia ajenda ya malengo ya maendeleo endelevu (SDG) kunaweza kusaidia

Maendeleo ya kiuchumi

AfCFTA: Sekta ya uchukuzi barani Afrika kunufaika kutokana na biashara huru

Biashara kupitia barabara, reli, ndege na huduma za usafiri wa meli kuongezeka kwa 50%

Afrika na Ulaya: Ni Wakati wa Kuchua Hatua

Tusipoteze fursa hii ya kurudisha upya uhusiano na uchumi wetu

Eneo la biashara huru

Kusherehekea podkasti na masimulizi ya hadithi za Kiafrika

Podkasti ya Afrika Upya imezinduliwa ili kuangazia masuala muhimu barani