Pata programu za rununu za bure

Pata habari mpya kutoka kwetu kwenye programu zetu.

Download app from Android Download app from Apple
AfricaUpya: Agosti 2021

Amani na Usalama

Profesa Benedict Oramah

'Lengo letu ni chanjo ya haraka kwa Waafrika milioni 800'

—Benedict Okey Oramah, Rais wa Afreximbank na Mwenyekiti, Bodi ya Wadhamini wa Hazina ya Kukabili ya Umoja wa Afrika ya COVID-19.
Bi. Yongyi Min

Jinsi COVID-19 ilivyoathiri SDG katika Afrika

Ripoti ya Malengo ya Maendeleo Endelevu ya 2021 inabainisha hatua muhimu, lakini janga tandavu limekuwa pigo kuu.

Jitihadi za haki

Haben Girma

‘Changamoto kuu ni ubaguzi dhidi ya walemavu, si ulemavu wangu’

Kutana na wakili Haben Girma, mtetezi mkuu wa haki za walemavu