Habari
Wanahabari wa Kiafrika: Mafundisho zaidi na raslimali zitapiga jeki utoaji habari kuhusu mabadiliko ya tabianchi
Kingsley IghoborTaarifa kuhusu mazingira ni ghali; zinahitaji kusafiri kwingi na kujasirisha
Thumbnail:
Kutana na “mrejesha-ndege” wa Afrika anayerejesha pori katika visiwa vya Bahari Hindi
Africa RenewalDkt. Nirmal Shah, mhifadhi bingwa kutoka Ushelisheli, anasaidia kuwaokoa ndege adimu
Thumbnail:
Matokeo ya COP27: Tathmini kuhusu hatua zilizofikiwa, fursa zilizopitwa
Fazal IssaHazina ya kusaidia hasara na uharibifu imekaribishwa, haja ya kushughulikia ukabilifu na utekelezaji wa hazina ya kusaidia walio katika hatari zaidi
Thumbnail:
Mdumisha amani anayehudumu DRC ashinda Tuzo ya Polisi wa Kike ya UN mwaka 2021
UN PeacekeepingMrakibu wa Nepal Sangya Malla alisaidia kuanzisha Kitengo cha Afya na Mazingira, na kuimarisha usalama na ustawi wa wadumisha amani.
Thumbnail:
Napenda kazi yangu kama mwanajeshi wa kikosi cha anga’ Phelisa Frida Miya, kutoka Afrika Kusini'
Franck KuwonuPhelisa Frida Miya nwenye umri wa miaka 28, ni mwanajeshi wa kikosi cha anga/mwanamke wa kufyatua bunduki kutoka Afrika Kusini anayehudumu katika Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO).
Thumbnail:
'Jumuisha maafisa vijana kwenye jumbe za kulinda usalama'
Franck Kuwonu— Kossi Gavon mwenye umri wa miaka 24, ni Luteni kutoka Togo anayehudumu katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kulinda Amani nchini Mali. (MINUSMA)
Thumbnail:
'Napenda kuufahamisha umma’
Cristina Silveiro- Merveille-Noella Mada-Yayoro, 29, mwandishi wa habari na mtayarishaji wa Guira FM huko CAR.
Thumbnail:
Kitu gani kipo kwenye kabeji la Afrika? Mengi
Economic Commission for AfricaSylvia Wairimu Maina (kutoka Kenya), anazungumza kuhusu utafiti wake wa shadada ya uzamivu (PHD) kuhusu lishe na faida za kiafya za kabeji la Afrika
Thumbnail: